Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

KILE KITUMBUA LAZIMA KILA CKU IPIGWE MAJI,IVALIE CHUPI,KUKINGA JUA,IWEKE PED IKIWA KWENYE MAFURIKO
YOTE GHARAMA

NADHAN MWANAUME UKITAKA NAWE KUUZA KALIO LAKO UTAPATA PESA
UCWAONEE GERE
KWA TAMU WALIYOUMBIWA
 
Sihongi mwanamke raha nayopata mimi ndio raha anayopata yeye, kuna msanii 1 kawahi kusema hivi, he is right.
 
Aiseee hakuna kitu ninachopenda kama kumpa Vitu.... hadi nasikia raha...napenda kumnunulia apendacho Aisee hata kama ni nini nitamnunulia maadam asitake pesa kama pesa...ila chochote akitaka hata iwe milioni moja nitamnunulia,ili awe nacho tuuu,najisikia fahari kumnunulia mwanamke vitu tena vya thamani...ili akiviangalia anawaza mashine yanguu tuuu...pesa atanisahau fasta...tena vitu ninavyomnunulia ni unique....natamani kweli nipate wa Kumnunulia....
 
Acheni watutoze ndio rasilimali yao. Kwani nchi kwa mfano, makinikia, Tanzanite, almasi, gesi nk. tulivinunua lini? Kwani zinagawiwa bure? Ila wakumbuke vina expiry date/vinakwisha utamu na vikiisha tunahamia kwenye vipya, pesa si zetu bwana.
Ewaaa
 
Mi nisipohonga najihisi kama niko mpungufu! Mwanamke asienichuna simtaki! Atanidumaza. Ntashindwa kupambana na hali yangu!
 
Sa mbona wengine ni magogo afu unasikia pay first
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…