Wanawake kwa kutaja namba ndiyo solution au?

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habri zenu wana MMU'

Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusu system wanayotumia wanawake kufichua watu wanaowasumbua kwa kuwahitaji ki mapenzi ambapo mwanamke huamua kumwambia bwana yake na kumpatia namba ya huyo bwana anayemsumbua je, hiyo ndo solution ya kutatua tatizo?
na katika upande wa wanaume wanafanya hivyo kwel kwa wale wanawake wanaowasumbua ki mapenzi?

Hebu share ujuzi wako katika hili.
 
Ni ujinga tu...we unatakiwa kujiongeza...unadhani atakao wakubali atakuambia?...ni sawa na mtoto wa kike akiwa mdogo,akitongozwa tu mbio kwa mama kusema, subiri aanze yale km taarifa zitaendelea.
 
mbona umetumia nafsi ya tatu wingi kwa pande zote mbili...???uko kundi lipi ...
 
Kwa wanaume sio rahisi kumwambia mke wake kua ansumbuliwa.. ila kuna baadhi ya wanawake wanahaka katabia.. Na sio sahihi coz we ni mtu mzima na unamaamuzi.. inamaana unshindwa kumstop mpaka uombe msaada. au nikujikosha tu.
 
Ni ujinga tu...we unatakiwa kujiongeza...unadhani atakao wakubali atakuambia?...ni sawa na mtoto wa kike akiwa mdogo,akitongozwa tu mbio kwa mama kusema, subiri aanze yale km taarifa zitaendelea.

Al-shabaab majibu haya hapa juu.
 
Mi na deal nae mwenyewe tu kwani mtu akikutaka ni kesi? Si unaamua kumkataa au kumkubali, husband wa nini hapo sasa? Unless jamaa king'ang'anizi hasikii. Ila zipo zile umekutwa sasa na husband ili kuyeyusha soo unajidai ah huyu jamaa huwa ananisumbua mi simtaki lakini yeye hasikii... ebu ongea nae wewe! Hubby nae anakulupuka anapiga simu, kijana anabaki kushangaa! Later watu huwa wana apologise bwana eee saa zile issue ilikuwa imekaa vibaya nilishikwa
 
I can't understand kwanini nimpe no Yang mwanaume aliyenitongoza kama cijmpenda na Nina malengo gani nae
Wanawake tuna tabia siku tukikamatika na vimeseji ndo utaanza kusema oooo baby huyu alinitongoza ananisumbua hat kama unataka uhakika mpigie...
I swear if a was a men naanza na wewe mpenz wangu kwanini ulpa no?
Mimi nakomaa nae mwenyewe hadi ifike kwa mpenz wangu basi itakuwa nimemshindwa
 
Mi na deal nae mwenyewe tu kwani mtu akikutaka ni kesi? Si unaamua kumkataa au kumkubali, husband wa nini hapo sasa? Unless jamaa king'ang'anizi hasikii. Ila zipo zile umekutwa sasa na husband ili kuyeyusha soo unajidai ah huyu jamaa huwa ananisumbua mi simtaki lakini yeye hasikii... ebu ongea nae wewe! Hubby nae anakulupuka anapiga simu, kijana anabaki kushangaa! Later watu huwa wana apologise bwana eee saa zile issue ilikuwa imekaa vibaya nilishikwa

xafi kabisa umenena.."inatia moyo pale unapomuona mwenz wako anafanya maamuz juu ya uhusiano wenu"tabia hii ci nzur kwan inaweza kuashilia kuwa mwenye hat milik ya hatima yenu ni mwanaume,hata anatwikwa mzigo kuongea na jemba wakt hata yeye wapo akna dada wanamusumbua ila hajawah kukuambia...watoe namba pale tu wanapoona jamaa kazidi
 
Ni ujinga tu...we unatakiwa kujiongeza...unadhani atakao wakubali atakuambia?...ni sawa na mtoto wa kike akiwa mdogo,akitongozwa tu mbio kwa mama kusema, subiri aanze yale km taarifa zitaendelea.

lazima amsemee SIRI ya nn katika mapenzi kama mnapendana Vaislay
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanaume sio rahisi kumwambia mke wake kua ansumbuliwa.. ila kuna baadhi ya wanawake wanahaka katabia.. Na sio sahihi coz we ni mtu mzima na unamaamuzi.. inamaana unshindwa kumstop mpaka uombe msaada. au nikujikosha tu.

unakuta wengine wasumbufu kupita kiasi
 
Kwanini utoe namba kwa mtu ambaye huna malengo naye??? Na kama huyo mtu kapewa namba na mtu mwingine na kama imekuja angle mbaya ni vizuri kuwa transparent and never entertain communication with him.

Kuna wanaume wengine ni wasumbufu kwa kweli,anaweza asiwe na namba yako lakini ile njia tu mnayoonana kila siku akasumbua mpka basi!!!
 
Back
Top Bottom