Wanawake kuweni wasafi basi!

Unachekesha ila hujijui, wanaume ndo wanaongoza kwa uchafu..puuuu
 

tena ukikuta mkaka anatoa harufu ni balaaaaaaaaa, bora hata ya mdada
 
Mkuu inaonekana, wewe unamind sana. Sasa fungua saluni mkeo awe anawafunda hao.Ikiwezekana hili lipelekwe Redio one kuna wadada wawili wanashirikiana na akina "Bibi Chau"na Malikia wa mipasho " Hadija Kopa" katika kipindi cha " .......KILA SIKU SAA 3 MPAKA SAA7...walijadili.
 
yahn umekodoa hadi basi siku nyingine usipande dala dala iliyojaa:lol:
 
lakini daladala la mbagala mshkaji wangu duu lazima upande tuu hakuna jinsi!!! pole mtu wangu. ila wanaume nao kuna wakati viatu vinapumua
 
kama ni daladala la mbagala mshkaji lazma upande tuu hakuna ujanja ila wanaume nanyi kuweni wasafi kuna wakati mwingine viatu vinapumua
 
Hao wengine uchafu ni maumbile yao, nao wako katika makundi yote mawili - kike na kiume.
 
Kitu kingine uta muona mwanamke amependeza sura imeoshwa vizuri na kavaselin kana waka.
Angalia miguu,balaa hamu yote inaisha.
 
Ila hiyo kitu ni kwa pande zote. Wapo mamen nao wachafu kinoma.
 
tena ukikuta mkaka anatoa harufu ni balaaaaaaaaa, bora hata ya mdada
Umeeonaeee!
Tena wao harufu yao ni kali mpaka basi,
Saa ingine mpaka unajiuliza hv huko alikotoka amelala je na mkewe dah!
 
huyo ni kuku wa kienyeji...wana harufu nzuri sana..sema hujui tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…