Sawa nikweli mkuu..nilishawahi shuhudia jamaa katoka kukojoaa..then nakuona anasalimiana na dada flani mkono ule ule daaah 🙁 🙁 🙄The reverse is true. Mi sisemi uongo siwezi kumpa mwanume mkono inkikumbuka mnavyo shika dushe zenu wakati wakujistili.
Usafi nikwawote regardless
Mwanamke au mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaghhh 🙁 🙁 sijui wapoje hawaaMkuu umenikumbusha yale madawa wanayopaka kwenye nywele zao yakichanganyika na jasho waweza kufa halafu ukae nae siti moja kwenye daladala ni balaa[emoji36] [emoji36] [emoji40] [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi mwanamke wa aina hiyo ukiwa nae unaweza kuzama chumvini kweli?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Aisee sijui ndio hali ngumu au vipi...kwakifupi wanawake mmejizira miili yenu aisee..inafika kipindi mwanamke unaepishana nae Lazima usikie Harufu ya kwapa au kisusio....au domo kutema kama umekula vitunguu vya salad
Ona sasa juzi yamenikuta nakwea mnazi huku harufu kali..nlitamani mpaka niwe na helmet nivae aiseee
SHAME ON YOU..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!mkuu ulizamia chumvini nini?Sijapata kujua kwanini wanaume wengi wananuka p*mbu halafu wanapenda tutume salamu kwa ndugu na marafiki 😛Usiniulize nimejuaje
🙂 🙂 me hazinuki njoooo...unaweza lala hukuhuku chini ya GariSijapata kujua kwanini wanaume wengi wananuka p*mbu halafu wanapenda tutume salamu kwa ndugu na marafiki 😛Usiniulize nimejuaje
Mkuu Id yako tu inajieleza kua ni mzee wa ma SALT SALT.. bt kwa nyapu zile huwezi kijana maana hakuna utofauti na vyoo vya hostel (ref. Kipindi hicho cha form 1, kupigishwa simu chooni)Mkuu hivi mwanamke wa aina hiyo ukiwa nae unaweza kuzama chumvini kweli?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh some tym mbwembwe nyingi hazina maana..kama kunyonya miguu sijui na makorokoro mengine ...ah pambafuHuyo wako ndio mchàfu watu wasafi mpaka visigino vinafutwa kwa ulimi....ww tuu na unaokutana nao,pole nunua sabuni umpelekee.
Nimesimama hapa kuwakilisha CHAPUTA..ukiwa nawe ni memberDon't over generalise issues kama we unaboeka na uliye naye sema mm sio mnatuboa.
Sent using Jamii Forums mobile app