Ila kwa kweli mwanamke akiwa na hela kumzidi mwanaume basi jamii inayowazunguka ni lazima itajua tu kwamba mume ni tegemezi, na kingine mimi sishauri mwanaume aoe mwanamke ambaye yupo vizuri kimapato kuliko yeye, ni heri upambane na hali yako ya uchumi mpaka ikae sawa ndiyo mchukue bibie umeweke ndani, maana sauti ya mwanaume ndani ya nyumba huendana na mfukoni kukoje yani kwenye kutoa maamuzi,