Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

Kijana naona madesa ya Dr Mwaka yanakupotosha... Hiyo kitu ina system yake natural ya kujisafisha. Kuna bacteria special kwa kazi hiyo.... Maji ya moto, limau, ndimu, mdarasin & vidole kuingizwa huko hekalun vinaua bacteria na kusababisha kunuka zaid au kuharibu kuta za hekalu na kuweka usugu.. Sheedah inaanzia hapo.
 
Ye ndio ananikera[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] acha umbea
Duh anakukera kivipi kwa mfano? [emoji85]

Onyesha ushirikiano maana nina langu kusudio[emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
sio bure we muuaji hakuna sehemu iliyo lain katka mwili kam hiyo leo hii unawashauri kuweka madole,,, watumie maj ya moto, ndimu na madudu gani mengine??????!!!! sio kosa lako tumekusamehe bule,,,,.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…