Wanawake kama hawa wapo kweli?

Mimi nikikutaga hela lazma nimwambie ila hilo swala la risiti ya guest hiyo special case.
 
Hizo pic asaivi wanatengeneza afu wanazipost Tu.
Huo ujinga hamna siku hizi
 
Hahaha wapo kama wakina demiss ...sa kwa yule mganga aliyemuoaa ataachaa kuandikaa hivyo??
 
Dunia imechafuka sana. Wanawake wengi wanatamaa ya pesa.

Ila amini nakuambia, wanawake wanaojielewa wapo!

There is always a daisy among the weeds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…