Ulianza na huyo uliekutana naye? maana umekutana na mmoja unawajumlisha wote,usikute hayo unayoyasema hapa hata hukumwambia ajitahidi usafi unasubiri aondoke, mwambie awe anajisafisha si ni mpenzi wako!
Hapo ndo ulipokosea siku nyingine atakuja hajanyoa maana atafikiri ndo unavyopendaTatizo ni namna ya kumwambia, niliamua kumpotezea hadi akaondoka, ntajitahid nimwambie
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu
mi huwa napenda sana kuwa muwazi hasa kwa mpenzi wangu!
kwa ishu kama hiyo, kama ingelikuwa ni mimi, ningelimnyoa usiku huo huo!!!!!
sasa hapa sijui umekuja kutangaza inneficiency zako katika mapenzi?
mi nakuterm kama mchafu pia, kwa sababu umeona eneo lenye uchafu, ukaliacha bila jitihada yoyote ya kulifanya usafi!
changes begins with you!

Inategemeana na eneo mlilopo, si kila sehemu mnaweza kuoga,
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu
Harufu kunako maeneo is the huge turn off yaani nikiisikia game is over so pls ladies