Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 95
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu