Unajua mkuu tatizo sio wanawake. Kufanya uchafu ni tabia ya mtu tu. Kuna watu wako tayari kufanya lolote kwa sababu ya pesa kuna wanaume wangapi waotoa miili yao kisa pesa? Hilo lililotokea huko kenya ni moja kati ya matukio mengi yanayotokea ktk jamii zetu. Mimi naweza kusema kila kitu kinachotokea hasa kikifanywa na mtu mzima basi huo ni utashi wake. Binadamu anapoamua lake hata uweke nini atalifanya hata kwa kificho so tatizo sio jinsia bali ni akili ya muhusika aweza kuwa ke/me .