Wanawake jiheshimuni!

Wanawake jiheshimuni!

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Kiukweli huwa nawaheshimu sana wanawake wanaojiheshimu, maana usipojiheshimu hautoheshimiwa hawa Kwa madada zetu inaniuma sana kuona Dada mwenye Akili kwenda kufanya mapenzi na Mbwa.kisa pesa jaman inasikitisha, inamaana wanaume hamuwaon au kuwadhalau wanaume)
 
zamani niliwahi kuangalia filamu za wanijeria, huyu jamaa alikuwa akimueleza kufanya ngono na mbwa mwanamke anakataa kabisa. Sasa mume anamuuliza mkewe kuwa kuliko kurudi nyumbani mikono mitupu na kukubali ukapata $50,000 ambazo zitafanya tuonekane kipi ni bora.

Wanawake wanajiheshimu ila njaa ndiyo haina heshima mkuu aljun raj. Ndio maana nchi ambazo wanawake wamegundua haki zao kwa kiwango kikubwa uchumi wa nchi hizo ni mzuri pia, fuatilia.
 
Tatizo sio kujiheshimu... tatizo ni kutojitambua!!
Ni ngumu kubadili dunia... Mkuu ombea tuu kizazi chako kiwe salama..
 
Hebu tuwaheshimu wanawake kwa kutowajumisha wote ktk kosa walilofanya hao wanawake 11 wa mombasa. Maana kwa upande mwingine pia isitufanye wanaume tukaonekana hatuna utu kwa wachache wanaobaka vitoto vichanga.
 
Huu ndo ujinga kwa baadhi ya watu kwani hili hawalifanyi kwasababu ya jinsia yao bali kwa Upumbavu wa wale wafanyao hivyo
 
944462_601092993235070_1143680171_n.jpg
 
Unajua mkuu tatizo sio wanawake. Kufanya uchafu ni tabia ya mtu tu. Kuna watu wako tayari kufanya lolote kwa sababu ya pesa kuna wanaume wangapi waotoa miili yao kisa pesa? Hilo lililotokea huko kenya ni moja kati ya matukio mengi yanayotokea ktk jamii zetu. Mimi naweza kusema kila kitu kinachotokea hasa kikifanywa na mtu mzima basi huo ni utashi wake. Binadamu anapoamua lake hata uweke nini atalifanya hata kwa kificho so tatizo sio jinsia bali ni akili ya muhusika aweza kuwa ke/me .
 
Mkuu Omujubi tatizo sio pesa bhana Wangapi wanaMaisha Mabovu na Hawa fanyi ujinga uwo ii ni kuwazalilisha wanawake wengine bhana
 
Well said Mdogo wangu, kuna wanaume wanaua wazazi na watoto wao kisa pesa. Wengine wanageuka kuwa wanawake kisa pesa; achilia mbali suicide bombers wanaolipwa na terrorists for money.
Dunia imepoteza utu, there is nothing ambacho mtu hawezi fanya akioneshwa mlima wa karatasi zilizothamanishwa.

Back
Top Bottom