Wanawake jifunzeni kuwa wasafi ikulu na kwenye kwapa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Yani unakuta mdada mzuri tu sura na umbo ila akivua sasa kama panya kaoza mmh , wadada jamani Kuweni wasafi eti mnatia aibu mmmh, kwenye kwapa mnakuwa weusi kama kambale kabanikwa walah!

Mimi nawapenda ila mnakeraaa afu fueni chupi zenu zinanuka Kama Yai viza , shenz type , mnakera walah shoga zangu muwe wasafii mmh
 
sentensi ya mwisho hapo inashida
 
Yani unakuta mdada mzuri tu sura na umbo ila akivua sasa kama panya kaoza mmh , wadada jamani Kuweni wasafi eti mnatia aibu mmmh, kwenye kwapa mnakuwa weusi kama kambale kabanikwa walah!

Mimi nawapenda ila mnakeraaa afu fueni chupi zenu zinanuka Kama Yai viza , shenz type , mnakera walah shoga zangu muwe wasafii mmh
Shoga zako watakuja sio muda
 
Naunga mkono hoja,videmu demu vingi ni vinanuka ma k havijui kuosha kulinganisha na wamama.

Ukiviona na vi skin vyao na kujishaua unawedha dhani ni visafi kumbe hovyo kabisa.

Walau wanawake wanaojiuza au wa kwenye guest ni wasafi
 
Mwanamke kunuka Kyuma haimaanishi kuwa sio msafi! Anaweza akawa msafi lakini k*uma ikawa inatoa harufu ya uvundo mithili ya mzoga wa panya ama shombo la samaki/dagaa wabichi. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria ,kitaalamu unajulikana kama Bacterial vaginosis (BV) .

Huu ugonjwa unatibika hivyo mpenzi/mke wako pindi anapokuwa na tatizo hili msihi aende hospitali kupatiwa tiba, ambayo ni Anti-biotics...atapewa tu vidonge vya metronidazole pamoja na gel ya metronidazole au clindamycin kupaka ndani ya uke ili kuua bacteria hao kwa muda wa wiki moja tu...na uke utarudi katika hali yake ya kawaida na atakuwa hanuki tena uozo.
 
Back
Top Bottom