Hakuna zawadi zaidi ya pesa acheni kunipotezea muda wangu.hahahahahah Matola hiyo ndio zawadi wanawake wanapenda..........hebu taja zawadi unazotoa kwa mama/mke/gf
Hakuna zawadi zaidi ya pesa acheni kunipotezea muda wangu.
Zawadi inagharimu laki tano wewe mshahara wako laki na nusu unafikifiria nini hapo!!
Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!
Babu Asprin una mambooooo, ndiyo maana nilikataa kuwa msiri wako.Zawadi nzuri sana unayoweza kumpa mwanamke wako ni matumizi ya condom pale unapochepuka kufanya mazoezi na timu za mchangani.
Najua wengine hawatanielewa lakini ukweli ni kuwa KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA.
Shkamoo Blaki Womani.
Haya wifi yako amenipigia simu nataka kwenda kumuona sasa hivi, niambie nimpelekee zawadi gani ya kawaida, Ice cream au .....hahahaha Matola acha ubahili hujui wewe ni ATM lol......waweza toa mshahara wako wote zawadi baada ya hapo mikono kichwani lol
Haya wifi yako amenipigia simu nataka kwenda kumuona sasa hivi, niambie nimpelekee zawadi gani ya kawaida, Ice cream au .....
Zawadi nzuri sana unayoweza kumpa mwanamke wako ni matumizi ya condom pale unapochepuka kufanya mazoezi na timu za mchangani.
Najua wengine hawatanielewa lakini ukweli ni kuwa KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA.
Shkamoo Blaki Womani.
Babu Asprin una mamboo, ndiyo maana nilikataa kuwa msiri wako.