Wanawake hivi ndivyo mlivyo

hahahahahahah nimecheka sana yaan,, daaar hii inaitwa weka mbali na watoto ina madhara
 
hahahahahahah nimecheka sana yaan,, daaar hii inaitwa weka mbali na watoto ina madhara
 
hahahahahahah nimecheka sana yaan,, daaar hii inaitwa weka mbali na watoto ina madhara
 
Aiseee mtowa mada ivyo vidokezo vimeniacha hoi kama kidokezo no13 inahuu na nampa papa sio nguru
 
yani iyo p na k na maelezo yake umelenga elimu waliyonayo bure kabisa dharau ming afu hamna chochote anahadithia harus za wengine zilivyo kua na wangu apa namwangalia tu
 
Kweli mkuu,ulichoongea kina fact hasa kwenye "K" na "P"....Kingine kwenye Chantee hata Tantee.
 
Mkuu umefanya asubuhi yangu niianze vizuri apo kwenye "jomoni" na "P na K" haha we kiboko
 
All in all ila huyu wa NIKOPESHE ELFU 50 BABY ndio kafunika mweeh! Yaani sehem yoyote yenye giza anakupa pe..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…