Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Jambo afanye mtu mmoja au wachache sanaKama ni challenge mmeamua kuifanya tuwekeni wazi maana sio kwa Hali hii.
Wanawake nyie ni mama zatu ,Dada zetu , watoto wetu mmekutwa na Nini.....? Ni uhaba wa wanaume au ni Nini .....?
Au mnalipwa kufanya huu ujinga wa kucheza na vyupa na makopo ya soda ili mtangaze biashara za watu.....?
Au ni umasikini umepelekea yote haya maana sio kwa speed hii .
Au ni chalenji mmeamua kujifurahisha ila kiukweli inashusha Sana heshima zenu hii hata ile tishio la kutulaani titaanza kulivhukulia poa na tutawaona Kama midoli tu .
Jiheshimuni bana ...! Bado tunawahitaji mkiwa salama huko mnako elekea siko.
Yule wa chupa ya heinken nilingalia nikasema “ihiiilii”,yule ndo akutane na mtu sijui ampakie mkongo sijui takataka gani atakuwa anajiumiza mwenyewe tu maana yule ameshakuwa sugu.
So do I 🙄niko nyuma sana, had saiv bado sielewi!
Dada wa kingereza umechukia sana, wamekuudhi..Jambo afanye mtu mmoja au wachache sana
Basi limekuwa la wanawake wote.
Woiiiii
Sasa nyie mbona kuna wanaume mashoga mnataka tuwaone wote mnakojolewa?
Mnakeraaa
Mkuu mimi sijaipata hiyo connection.. msaada wako PM tafadhaliKama ni challenge mmeamua kuifanya tuwekeni wazi maana sio kwa Hali hii.
Wanawake nyie ni mama zatu ,Dada zetu , watoto wetu mmekutwa na Nini.....? Ni uhaba wa wanaume au ni Nini .....?
Au mnalipwa kufanya huu ujinga wa kucheza na vyupa na makopo ya soda ili mtangaze biashara za watu.....?
Au ni umasikini umepelekea yote haya maana sio kwa speed hii .
Au ni chalenji mmeamua kujifurahisha ila kiukweli inashusha Sana heshima zenu hii hata ile tishio la kutulaani titaanza kulivhukulia poa na tutawaona Kama midoli tu .
Jiheshimuni bana ...! Bado tunawahitaji mkiwa salama huko mnako elekea siko.
Dada wa kingereza umechukia sana, wamekuudhi..