Kuna Dada nilimtaka kabla hajaolewa akawa ananizungusha nikaachana naye. Alipata bahati akaolewa. Mimi nikawa nishamsahau kabisa. Siku moja nimetoka kazin natembea nikamuona kwa mbali nikajifanya sijamuona nikataka kumpita akaniita akanisimamisha kwa nguvu. Tukaongea kwa muda kidogo. Nikaachana nae akaenda kwake nikaenda kwangu. Kesho yake akanipigia kumbe alikuwa bado ana namba zangu. Akalalamika mbona simtafuti na mengine mengi. Nikamuaga ila nikamjaribu. Nikamuomba tuonane nikashangaa kakubali.
Kesho yake akanipigia akaniomba tuonane mahali flani. Nikamuwahi nikakaa mbali kidogo maana niliogopa isiwe mtego. Kweli kwa mbali nikamuona yuko mwenyewe. Tukaongea akaniambia njoo twende. Alinipeleka mpaka ndan kwake anakokaa na mumewe. Akanikalisha akaniambia hapo ndan ndo kwake. Dah, hapo nikaanza ogopa. Akanipa na denda hapo hapo ndan. Akaniambia nimsubiri aoge. Dah, nikamwambia siwez maana roho ilikuwa inaenda mbio jamaa yake akiingia itakua je. Nikamuomba nitoke tutaonana cku nyingine.
Dah nilitoka speed balaa. Hapo mumewe hayupo na mwanamke aliniambia kwamba haez rudi muda huo. Dah, nilienda nikakaa nikawaza kwamba huyu dada kawaza nini mpaka kanipeleka kwake.ckupata majibu.
Nimewaza sana.