Wanawake Hawa wanabahati sana aisee!!

Jeans aliyovaa elf 20.. ukiongea vizuri na muuza duka ni elf 18. Maana sio chambu hiyo, inaonekana ni mjeans wa dukani.

Kubond short wigi ni elf 30_45

Blouse ya shiffon ikizidi sana elf 25.

Kipochi hiko Karume elf 7.

Earnings elf 10… kkoo elf 5.

Asiwaletee heka heka kaka zetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…