Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Jamn mbon mim naenda sokoni tena nabeba na jumu kabisa acha hizo mkuu
hongera mkuu..sio kwa kwenda sokoni ila ni kwa vile leo umekubali kufunguka..wakati mwingine naona tu mmmh au kifull stopu (.)[emoji275]Jamn mbon mim naenda sokoni tena nabeba na jumu kabisa acha hizo mkuu
Za kuadimikaEm subiri kwanza
Poa ila mbona nipoZa kuadimika
Hata kupakanyaga sijawah hapo mliman city msitujumuishe wotee [emoji276] [emoji276]hapo kwa rangi sijakuelewa
sasa kama mnaenda sokoni kwa nini story za mlimani city, malls ndo ziwe nyingi humu au ndo kujishebedua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hongera mkuu..sio kwa kwenda sokoni ila ni kwa vile leo umekubali kufunguka..wakati mwingine naona tu mmmh au kifull stopu (.)[emoji275]
Vizuri na inawezekana mi ndo nimeadimika but za kuuchuna vp?Poa ila mbona nipo
tafuta siku nkupeleke kuleHata kupakanyaga sijawah hapo mliman city msitujumuishe wotee [emoji276] [emoji276]
Vizuri na inawezekana mi ndo nimeadimika but za kuuchuna vp?
Antonio de Guzman na joanah
Si mnajua maana ya pm
msipumzikie kwenye uzi wangu hayo mambo ya ulikuwa wapi, umepotea, nimekumiss pereka PM
Kama huna povu kwenye uzi huu basi tena anzisheni wenu mwingine mka-miss-ane kule na kupendana kule