Wanawake fitina

Wanawake fitina

Mpembakizinga

Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
61
Reaction score
75
Ni historia ya kweli niliwahi kuishi na kaka karibia miaka mitano tukaja kutofautiana baada ya kaka kuoa. Kaka ni mwenyeji wa Tanga na shughuli yake ya mwanzo uvuvi aliendelea nayo hata alipo sa sa Unguja kiembe samaki the baadaye akafungua duka akaachana na uvuvi alipo fungua duka LA pill akaja tanga kunichukua kuja Unguja ingawa baadhi ya ndugu walipinga Kwa hoja kazi za ndugu mtakuja kugombana hasa Bila makubaliano ya malipo maana ni kupotezeana mda ila siku jali basi ni kikafunguliwa duka Kwa mtaji WA laki 350000 Kwa vitu tulivyokwenda nunua maana tulikwenda wote nakumbuka siku za mwanzo asubuhi mpaka jioni 4500,5000,9000 shilingi Kwa siku basi dukalianza kukua Kwa uaminifu wangu brother ikawa kama kanikabizi anaweza siku Tatu asije dukani kiasi wasijua wakajua duka ni langu maana muda mwingi wananikuta mm basi ikawa Kwa siku unauza laki 2,3,4 na kuendelea Kwa siku basi mtaji WA duka ukafikia zaidi ya milioni tano na kuendelea alivyooa tu maneno yakaanza Kwa mkewe mara duka linapungua mara, unaonga wanawake,nikaja tonesha kidoda nilipotangaza nataka kuoa Tena mke mwenyewe wa Tanga mara oh bado kwanza usioe lawama hizo za mkewe nikaja zisikia Kwa kaka mwisho kaka akanifukuza na dukani nisiingie basi kula ikawa shida naomba nauli nirudi nyumbani kakataa kunipa nikawa Kuna watu nawadai nikawa nawapigia simu deni langu mnilipe mwenyewe ilinisaidia mwisho madeni yakaisha ikabidi nifungue duka Kwa Mali kauli unachukua mzigo baada ya siku mbili au Tatu unapunguza deni mwisho pia nilishindwa nikawa nalia nikifikiria nilipotoka na kaka Leo kanikatili mbaya zaidi nawaza nijiue ila nilikuwa mpenzi CD za Rogo shekhe wa Kenya aliyeuliwa Kwa kupigwa risasi hasa Kuna kipande anasema ukiona uzito jua wepesi huko karibu nikawa naona aibu kueleza ndugu ambao baadhi walinionya mbaya zaidi nauli kurudi tanga Sina na simu nilikuwa mbovu natumia Mara Moja Moja mwisho nikawa Sina jinsi nikamueleza mama kaka kanifukuza eti nafikirisi duka ikiwa alinikabidhi duka lenye mtaji laki Tatu nusu Leo mamilioni ananiona Sina maana mama alisema neno Moja rudi nyumbani naye akamweleza baba wote wakaniambia rudi nyumbani wazo likanijia nianze kuuza vitu ninunue baiskeli za watoto nikakodishe ili viela vidogovidogo nisimwombe mama uwezi amini siku ambayo nasema Leo ngoja niweke simu mama ananipigia mwanangu watafutwa siku Tatu upatikani kwenye simu mbovu Kuna kazi dar mtafute baba yako nampigia baba naye ananilaumu mbona upatikani siku Tatu njoo dar Leo kunaitaview kesho jumatatu mh Sina hata nauli nitakujaje Dar baba akaniuliza kwani nauli bei gani boat nakumbuka nilimwambia elfu18000 akanitumia elfu20000 ila akaniambia wasiliana na kaka yako fulani akupe maelezo zaidi maana nilipatikana jumapili basi usiku uleule nikaja Dar na jumatatu nikaenda kwenye itaview nilivyomaliza kujieleza na kuhojiwa mwisho nikaambiwa namba yangu ya inayopatikana nikarudi zangu Unguja Kwa ajili ya kurudi zangu nyumbani rasmi nikaanza kuuza vitu vyangu dukani kurudi zangu tanga Kwa ajili vitu vyangu, baiskeli, Tano za watoto TV mbili jiko umeme mafeni mawili na kusikilizia interview kama nimepita, kesho yake napigiwa simu unatakiwa training hotel Moja iko maeneo ya sinza saa Moja Kamili asubuhi jumatano kama kutatokea mabadiliko tutakujulisha niko mbioni kufunga mzigo kwenda tanga jumanne Kwa ajili ya kupeleka mizigo inapigwa simu Tena training wiki ijayo jumatatu nilishukuru ili niuze vitu vyangu taratibu uwezi amini Ile kazi mshahara laki Tatu nauli elfu tano kila siku kwa siku Sita na unapewa Kwa pamoja yote jumla elfu 30000 na nssf kila mwezi elfu sabini na Moja na kazi nilidumu Kwa mwaka mmoja na mateso yote nilisahau usiku mwema
 
Unasemaje
 
Siku nyingine uambatanishe na picha maana chai zimezidi humu ndani.
 
Ndugu yako akioa wewe jitegemee acha waishi wenyewe na hapo ukute hamna fitina yoyote wewe ndo shida hapo mkuu.
 
Bob marley aliimba "no woman no cry"

pole sana Mkuu,mitihani kama hiyo humfanya mvulana kuwa mwanaume
 
Hapana wanaume wengi hawafurukuti Kwa wake zao hasa mke akijua unampendaktk uislamu nasikia mtume mohamadi alitaka kuharamisha asali kisa mwanamke sembuse ss binadamu wa kawaida
 
Back
Top Bottom