Wanawake chukueni huu ujanja

BIKIRA WA KISUKUMA Anajua Kama Unamcopy Na Kumpaste Huku?
Fanya Hata Acknowledgement Basi Maana Unapotosha Wasiojua Wanadhani Wewe Ndiye Unayetunga Na Kuandika.
Adios!
 
BIKIRA WA KISUKUMA Anajua Kama Unamcopy Na Kumpaste Huku?
Fanya Hata Acknowledgement Basi Maana Unapotosha Wasiojua Wanadhani Wewe Ndiye Unayetunga Na Kuandika.
Adios!
Yeye ndo ananicopy mimi.... Adios...
 
Nafikiri upo nje ya mada mkuu habari za kukojoza au kukojozwa sidhani kama ndo dhumuni La mtoa post
Acha ukuda..
unapajua nje ya mada wewe??
sasa uyo dada anayedai alipwe kwa kutoa papuchi kwani yy alikua hainjoi??
acha uboya
 
Acha ukuda..
unapajua nje ya mada wewe??
sasa uyo dada anayedai alipwe kwa kutoa papuchi kwani yy alikua hainjoi??
acha uboya
Easy Easy easy Meen
 
Jana nimemsema binamu yangu hadi kamrudishia Ex wake simu.

Ni ushamba uliopitiliza kumnyang'anya mtu vitu mlivyopeana kisa mumeachana.
Hahahahaha km namuina alivyokua mdogo km piriton
 
Mwambie km yy anaroga nchi kavu wewe unaroga baharini
 
watu wanadai mpaka chupii...

utasikia kijeba kina bweka, unaikumbuka ile bikin ya pink ile... naiitaji kesho niikute! nitampa ata dada anguu!

joke!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ukuda..
unapajua nje ya mada wewe??
sasa uyo dada anayedai alipwe kwa kutoa papuchi kwani yy alikua hainjoi??
acha uboya
Hivi hawa vijana wa kihuni aina ya ufyudhi wanatoka wapi JF? Kukosolewa ndio ukuda? Wewe ni nani hata usikosolewa, soma uzi vizur ni wapi kuna dada amedai kulipwa!? Lengo La Uzi ni kuwaamsha kina dada wanaonunuliwa vitu na wapenz wao na baada ya penz kufa kuna baadhi ya wanaume huwanyang'anya vitu, mtoa Uzi amelenga kuwazindua hawa wadada, sasa sijui wewe umeyatoa wapi hayo mawazo yako
JITATHMINI NA KISHA UJIPE JIBU KUWA MIMI NA WEWE BOYA NI NANI?
 
Hapo ndo umekuja kistaarabu sasa..
mwanzoni ulikurupuka kidogo..
pamoja sana..
tuachane na hii coz sio lengo
 
Mwanamke kama were ndo "dizaini"ya Wajapani. Kila gharama huwa wanachangia hakuna cha nani kaanza kumtekenya mwenzake ila kwa bongo mbeba zege analipia kila kitu hata kama KE ana kipato kikubwa.
 
Huu ni mnyoosho O.G
 
Aisee, nilikuwa sijui kama vina category,sasa si bora hicho kitanda cha laki tatu nilale kwa amani kuliko KITANDA cha 1M cha kunitoa roho? Lol, watu tumetofautiana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…