Jana nimemsema binamu yangu hadi kamrudishia Ex wake simu.
Ni ushamba uliopitiliza kumnyang'anya mtu vitu mlivyopeana kisa mumeachana.
Hahahah..aya bana ila hii alipost bikira wa kisukuma instaSijawahi kuwa msukuma
ukipita posta, mwenge au morocco jioni unaweza sema maskini peke yangu mjini hapa, watu wanapendeza hadi wanaboa, fuatilia wanapolala sasaDuh..!
bora huyo ..
mimi x wangu mpaka kesho kutwa sijamthibitshia kama tumeachana ,japo tumeachana
kwa sababu ni anapiga simu za vitisho
mara ntakuroga usizae/usiolewe uwe kichaa
mara ntakutumia watu
mara utakoma ..ukiuliza ntakoma nini anakwambia subiri uone..
basi tabu tupu
Hahaha kma wanaweza wajipe utamu wenyeweKwa taarifa yako ndugu kuna wanawake mjini siku hzi usipoangalia watakukomesha,hii kusema haki ya wanawake ni jipu la kuwafanya wawe na makusudi mazima ya kujiolesha kwa mtu mwenye uwezo then anamtibua ili waachane wagawane mali.wanawake kama hawa wamejaa mjini now japo kwa kule Musoma,Tarime,Sirali na maeneo yote hayo wanawake hao hua wanakwama,kama nilimnunulia kwa kupendana kwetu na aje anitibue ataviludisha,akisema alinipa utamu hata mimi nilimpa huo huo utamu,kwa nini wajichukulie kua wao wanatusaidia huo utamu ilihali hata sisi tunawapa?nakwambia atavirudisha
Raha ni kuwa unapiga hizo nane na huyo mwanamke humridhishi, kwahiyo mara sio kigezo cha kimfikisha mtu, unajua CHEMISTRY wewe? Basi acha tutumie term ya QUANTITY vs QUALITY. Hapa tu ndipo wanaume wengi wanaachwa ChaliiiiiHivi mwanamke kupigwa vinane nani anapoteza nguvu? Nani anapata raha zaidi? Nani anatakiwa kulipwa baada ya shughuli kama kigezo in WORK DONE=FORCE x DISTANCE (nani anasukuma, nani anasogea) OR WORK DONE = POWER x TIME TAKEN?
Don't try it kwa mwanaume was kikuryaKuna Sampuli Flani ya Wanaume akikupenda
Utafurahi,Utaenjoy Penzi kwa kipindi chote,kila
unachotaka unapata,KASHESHE Siku tu Mkiachana ndo
balaa...
Kwanza Anakuandikia bonge la SMS la Mkwara
"Heyy,Kesho Sa4 asubuhi ntamtuma Dereva hapo kwako,atakuja na KENTA JEKUNDU naomba Lile
Kabati nililokununulia ulisafishe vizuri,na zile Cheni 2
nilizokuletea toka Dubai umpe,Funguo za Gari
umkabidhi atakuja kuipaki home,na Makochi seti zote
2 ya sebuleni na kule room kwako umpe.Nilikwambia
na iPhone 6s niliyokununulia kwenye Bday yako uondoe details zako unletee hujafanya hivyo,Please
mpe ushirikiano ukizingua nikitimba hapo
patachimbika"
Anatamani angekuwa na uwezo wa kudai Refund
hadi ya Bili za Outing zote alizokupeleka wakati
anabembeleza umpe Mpwapwiso. UKITAKA KUMKOMESHA WE MJIBU HIVIII;
"Kwanza Kesho Sipo home naenda Mbudya with my
Girls,na kuhusu Kabati,Sofa,iPhone6 na Gari
USIJISUMBUE wala hutavipata...Yaani Umenitumia
Weeee halafu leo uje uninyang'anye kirahisi tu nilale
kwenye mkeka??THUBUTU...Unajua thamani ya Mpwapwiso wangu ni bei gani??Tukipiga Mahesabu
utajikuta Nakudai Gubegube Wee...Siku ya 1 nakupa
zigo UKAPIGA VINANE kwa sifa nikakuangalia tu,Siku
ya 2 UKAPIGA TENA VINANE na kusimamia kucha
kama umeilipia VAT,ulidhani bure zile??Kwa haraka
haraka kwa Mwaka tuliokaa umenipiga kama VIKOJO 2300 na kila kikojo ni Elfu 10,Piga Hesabu zako uone
kama unanidai Mwanaume Usie na Haya,wenzio
wanahonga we unadai ulivyohonga bila aibu...HAVE A
GOOD DAY"
Hatokujibu Milele!!Wanaume tafuteni hela,ni aibu
kudai zawadi ulizompa wakati Mapenzi yakiwa Hoti Hoti,Huo ni Uandazi Uliopitiliza!Ukishamlaza Chini kwa
kumnyang'anya Kitanda UNAFAIDIKA NINI??Grow
Up!
Mjini kuna kitanda na KITANDA baba hahahaaaHuyo anayehongwa mpaka kitanda ina maana kabla ya huyo jamaa yake alikuwa analala wapi? Hakuwa hata na kabati?
Wanaume acheni upumbavu, mngekua mnajua mnapoteza nguvu na hakuna raha mnayoipata msinge tafuta wanawake kwa gharama kubwa,inashangaza sana wanaume wa siku hiz eti raha tunapata wote!! Sawa raga tunapata wote na kwann wewe mwanaume unakua wa kwanza kunitafuta kuitaka iyo raha ambayo kazi unafanya wewe malipo natakiwa kulipwa mie.Hivi mwanamke kupigwa vinane nani anapoteza nguvu? Nani anapata raha zaidi? Nani anatakiwa kulipwa baada ya shughuli kama kigezo in WORK DONE=FORCE x DISTANCE (nani anasukuma, nani anasogea) OR WORK DONE = POWER x TIME TAKEN?
Kumbe raha nyingi mnapata nyinyi??Wanaume acheni upumbavu, mngekua mnajua mnapoteza nguvu na hakuna raha mnayoipata msinge tafuta wanawake kwa gharama kubwa,inashangaza sana wanaume wa siku hiz eti raha tunapata wote!! Sawa raga tunapata wote na kwann wewe mwanaume unakua wa kwanza kunitafuta kuitaka iyo raha ambayo kazi unafanya wewe malipo natakiwa kulipwa mie.
Duh, kitanda Sawa na bei ya boda bodaMjini kuna kitanda na KITANDA baba hahahaaa
Kitanda-ni kile anachochonga fundi seremala wa mtaani kwenu bei yake haizidi laki 3 kwa Dar
KITANDA ni kile kinachotokea maduka makubwa ya furniture na bei yake haipungui 1M kwenda juu sasa sijui unauliza kipi hapo
Jidanganye muraa..labda kama hujakutana nao,na ukicheza nae anakutoa dunianiPunguza Hasira Muraa.... mwanamume hashindani na wanawake Muraa
Acha ubahili kijanaDuh, kitanda Sawa na bei ya boda boda