Wanawake chukueni huu ujanja

Mwanaume wa ukweli hawezi kudai alivyotoa labda awe wale wa wapi sijui wanaitwa
 
Jamaa alimjengea mchepuko nyumba tabata ya 3 room , sebule na jiko siku amemkuta na kidume ndani, alikodi catapilla lika bomoa, tuna tofautiana.
 
Huyo anayehongwa mpaka kitanda ina maana kabla ya huyo jamaa yake alikuwa analala wapi? Hakuwa hata na kabati?
Huwezi jua mkuu... Watu wana maisha magumu....usiwaone wanashine hayo ni maisha ya kuekti
 
Punguza Hasira Muraa.... mwanamume hashindani na wanawake Muraa
 
watu wanadai mpaka chupii...

utasikia kijeba kina bweka, unaikumbuka ile bikin ya pink ile... naiitaji kesho niikute! nitampa ata dada anguu!

joke!!
sio chupi tu... Wengine wanadai hadi pediii... Joke
 
Hivi mwanamke kupigwa vinane nani anapoteza nguvu? Nani anapata raha zaidi? Nani anatakiwa kulipwa baada ya shughuli kama kigezo in WORK DONE=FORCE x DISTANCE (nani anasukuma, nani anasogea) OR WORK DONE = POWER x TIME TAKEN?
Kwani kinu na kikitwanga mchi au Nyundo ikigonga jiwe... Nani anayeumia???
 
Jamaa alimjengea mchepuko nyumba tabata ya 3 room , sebule na jiko siku amemkuta na kidume ndani, alikodi catapilla lika bomoa, tuna tofautiana.
Khaaaa.... Huyo jamaa ametia fora
 
Hahahaha

Ora vipi kwema mkuu
 
MBONA WANAO COMMENT HUMU WOTE NI WANAWAKE????
(isipokua mimi)

#Chief Eng.
Tutajuaje kama na wewe siyo mwanamke?(weka Picha)

Wewe umejuaje kama wote waliochangia ni wanawake maana humu Jf ni shemale wengi sana.

Kwema Mkuu Chief Eng
 
mi nikiacha demu cdai hata km nilimpa zawadi ya ghorofa kama nimelamba ile asali adimu kuliko ya nyuki basi inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…