Pole mwayabora huyo ..
mimi x wangu mpaka kesho kutwa sijamthibitshia kama tumeachana ,japo tumeachana
kwa sababu ni anapiga simu za vitisho
mara ntakuroga usizae/usiolewe uwe kichaa
mara ntakutumia watu
mara utakoma ..ukiuliza ntakoma nini anakwambia subiri uone..
basi tabu tupu
Dah, mpaka nimekuonea hurumabora huyo ..
mimi x wangu mpaka kesho kutwa sijamthibitshia kama tumeachana ,japo tumeachana
kwa sababu ni anapiga simu za vitisho
mara ntakuroga usizae/usiolewe uwe kichaa
mara ntakutumia watu
mara utakoma ..ukiuliza ntakoma nini anakwambia subiri uone..
basi tabu tupu
Kwa taarifa yako ndugu kuna wanawake mjini siku hzi usipoangalia watakukomesha,hii kusema haki ya wanawake ni jipu la kuwafanya wawe na makusudi mazima ya kujiolesha kwa mtu mwenye uwezo then anamtibua ili waachane wagawane mali.wanawake kama hawa wamejaa mjini now japo kwa kule Musoma,Tarime,Sirali na maeneo yote hayo wanawake hao hua wanakwama,kama nilimnunulia kwa kupendana kwetu na aje anitibue ataviludisha,akisema alinipa utamu hata mimi nilimpa huo huo utamu,kwa nini wajichukulie kua wao wanatusaidia huo utamu ilihali hata sisi tunawapa?nakwambia atavirudishaKuna Sampuli Flani ya Wanaume akikupenda
Utafurahi,Utaenjoy Penzi kwa kipindi chote,kila
unachotaka unapata,KASHESHE Siku tu Mkiachana ndo
balaa...
Kwanza Anakuandikia bonge la SMS la Mkwara
"Heyy,Kesho Sa4 asubuhi ntamtuma Dereva hapo kwako,atakuja na KENTA JEKUNDU naomba Lile
Kabati nililokununulia ulisafishe vizuri,na zile Cheni 2
nilizokuletea toka Dubai umpe,Funguo za Gari
umkabidhi atakuja kuipaki home,na Makochi seti zote
2 ya sebuleni na kule room kwako umpe.Nilikwambia
na iPhone 6s niliyokununulia kwenye Bday yako uondoe details zako unletee hujafanya hivyo,Please
mpe ushirikiano ukizingua nikitimba hapo
patachimbika"
Anatamani angekuwa na uwezo wa kudai Refund
hadi ya Bili za Outing zote alizokupeleka wakati
anabembeleza umpe Mpwapwiso. UKITAKA KUMKOMESHA WE MJIBU HIVIII;
"Kwanza Kesho Sipo home naenda Mbudya with my
Girls,na kuhusu Kabati,Sofa,iPhone6 na Gari
USIJISUMBUE wala hutavipata...Yaani Umenitumia
Weeee halafu leo uje uninyang'anye kirahisi tu nilale
kwenye mkeka??THUBUTU...Unajua thamani ya Mpwapwiso wangu ni bei gani??Tukipiga Mahesabu
utajikuta Nakudai Gubegube Wee...Siku ya 1 nakupa
zigo UKAPIGA VINANE kwa sifa nikakuangalia tu,Siku
ya 2 UKAPIGA TENA VINANE na kusimamia kucha
kama umeilipia VAT,ulidhani bure zile??Kwa haraka
haraka kwa Mwaka tuliokaa umenipiga kama VIKOJO 2300 na kila kikojo ni Elfu 10,Piga Hesabu zako uone
kama unanidai Mwanaume Usie na Haya,wenzio
wanahonga we unadai ulivyohonga bila aibu...HAVE A
GOOD DAY"
Hatokujibu Milele!!Wanaume tafuteni hela,ni aibu
kudai zawadi ulizompa wakati Mapenzi yakiwa Hoti Hoti,Huo ni Uandazi Uliopitiliza!Ukishamlaza Chini kwa
kumnyang'anya Kitanda UNAFAIDIKA NINI??Grow
Up!
asanteePole mwaya
we acha tuDah, mpaka nimekuonea huruma
Nilitaka kuuliza hivyo hivyo ahahahhaww ni bikira wa kisukuma?
Hilo nalo nenoKwa taarifa yako ndugu kuna wanawake mjini siku hzi usipoangalia watakukomesha,hii kusema haki ya wanawake ni jipu la kuwafanya wawe na makusudi mazima ya kujiolesha kwa mtu mwenye uwezo then anamtibua ili waachane wagawane mali.wanawake kama hawa wamejaa mjini now japo kwa kule Musoma,Tarime,Sirali na maeneo yote hayo wanawake hao hua wanakwama,kama nilimnunulia kwa kupendana kwetu na aje anitibue ataviludisha,akisema alinipa utamu hata mimi nilimpa huo huo utamu,kwa nini wajichukulie kua wao wanatusaidia huo utamu ilihali hata sisi tunawapa?nakwambia atavirudisha