Hivi kwanini mwanamke akikosea na ukianza kumrekebisha anaanza kukumbusha mambo ya kuumiza ya nyuma na mengine hujawahi fanya? mara mie naondoka tafuta mwanamke asiye na makosa, mara naenda kujitafutia maisha yangu yaani!

Inategemea na ulivyo sound wakati unamrekebisha. Labda na wewe unakumbusha na matukio ya nyuma. Halafu kipindi hiki cha sikukuu inawezekana pia ana hasira kuna vitu hujarekebisha akikwambia unaonekana kuchukulia easy