Mie bwana, nimejilalia na dogo wangu. Simu inaingia. Namba naifahamu na nimeisevu jina. Ni mwanaume nilikuwa nasoma nae ITA na yeye kikazi yupo TRA HQ. Tangu nimemaliza chuo 2011 mawasiliano na wanafunzi wote yamepungua except mmoja ama wawili, na huyu X si mmoja wao. Nimepokea, anaeongea ni mwanamke. Hamna salamu. Wewe ni nani kwa X? Nikamwambia WTF? Akanijibu kwa ukali, nimekuliza X ni nani wako, manake ameniambia wewe ni nyumba dogo yake. Nikamuuliza woman are you serious. I was very offended. Am a married woman for crying out loud, tena niwe nyumba dogo?? WTF?? Nikamwambia mimi nina mume wangu na mtoto. Haya yote yametokana na nini? Akajibu ooh nimekuta message kwenye draft items ameandika nasafiri karibuni baby. Nikamwambia namheshimu sana huyo kaka. Nimesoma nae na ni mtu mstaarabu sana so siku ingine kabla hujakurupuka get your facts right . Akabaki oooh mi ni mafia nitakufanyizia kuwa mwangalifu. Nikamjibu do your worst. Hivi iweje unakuta message kwenye draft kwenye simu ya mwenzio, unakurupuka tuuu. Ingekuwa inbox nimetuma mimi kweli, ama at least ingekuwa kwenye sent items kweli, draft?? Halafu sina hata regular communication na yeye? Utawapigia wangapi? Kama sio kutafuta kufa na pressure.
Nafikiri ni jazba tu na hofu ya kuibiwa. Kosa alilofanya ni kukupigia wewe na kukuwashia moto badala ya kutafuta ukweli. Chukulia mfano, wewe ungekuta meseji ya namna hiyo kwenye simu ya mumeo ungefanya nini?
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
Aisee ilishanikuta hii..ila yule dada hatakaa asahau!!!
Imagine ni mkaka ambae nlikuwa namfundisha kazi coz n mgeni! Bibie akakuta msg ya:
'naomba kesho unikumbushe,ubarikiwe na siku njema'
bibie ndevu za ulimi zikamuwasha,et bila kuuliza kitu,akaanza et naomba umuache flan ni mpenz wang,na matusi juu. Nikamvutia pumzi,nkamwambia,mbna me n mme wangu,nawe nakujua hawara yake,sie tuna ndoa na mtoto.. Kwao wote nwajua.. Au unataka nkwmbie jana na leo amevaaje?maana ad chup nlimchagulia!!!
Palinuka uko.. Mkaka akaja na samahani kilo mia!! Had kesho mdada hana hamu!!!
Some mademu wana simple minds!! Yan wanakurupuka kama wanakimbizwa usingizini!!
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
h heeee, mimi aliyenitukana alikuwa mchumba......nilishawai kutukanwa na mtu mke wa ndugu yangu wa karibu sana ..acha tu ila cha moto anakiona hadi kesho
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
Huwa tunatibu dalili badala ya ugonjwa. Hata kama ingekuwa kweli, the right person IMO wa kuanza kumswalisha ni mumewe!
Amejiabisha bure.
Pole sana kwa usumbufu ulioupata. Wanawake (na hata wanaume) wengine ni "pasua kichwa" sana kwenye uhusiano!