mwangahikaji Member Joined May 14, 2013 Posts 98 Reaction score 35 May 20, 2013 #1 Ni kwanini wanawake bila kuwaongopea kwenye mausiano awakukubali mpaka uwaongope?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,884 May 20, 2013 #2 Kwamba una hammer......?
T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,132 May 20, 2013 #3 mwangahikaji said: Ni kwanini wanawake bila kuwaongopea kwenye mausiano awakukubali mpaka uwaongope? Click to expand... sio wote!
mwangahikaji said: Ni kwanini wanawake bila kuwaongopea kwenye mausiano awakukubali mpaka uwaongope? Click to expand... sio wote!
mwangahikaji Member Joined May 14, 2013 Posts 98 Reaction score 35 May 20, 2013 Thread starter #4 mh!!! tabia zao kama zinafanana kama mtoto wa baba mkubwa na mdogo
Eddy86 Member Joined Apr 24, 2013 Posts 15 Reaction score 5 May 20, 2013 #5 Wengi wao ukiwaambia ukweli ndio huisi unawandanganya na ukiwandanya ndio wanaingia wanakuona wamaana! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wengi wao ukiwaambia ukweli ndio huisi unawandanganya na ukiwandanya ndio wanaingia wanakuona wamaana! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
K Khakhi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 848 Reaction score 213 May 20, 2013 #6 Preta said: Kwamba una hammer......? Click to expand... Unamiliki kisiwa cha unguja auuuuu????
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 May 20, 2013 #7 Sio wote ila walio wengi, ukisema ukweli wanakuona jeuri na usiyejali....basi sawaaa we endelea tu kuwadanganya ili wakuone malaika.
Sio wote ila walio wengi, ukisema ukweli wanakuona jeuri na usiyejali....basi sawaaa we endelea tu kuwadanganya ili wakuone malaika.
makoye78 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 672 Reaction score 229 May 20, 2013 #8 Ongea ukweli ujibebe, Lol. La sivyo piga fix uone mtu anavyo jaa kwenye kumi na nane zako... kudadadadeki! Oooh dia, nitainunua Ikulu ya Magogoni nikupe ufugie kuku wa mayai! Kwa jinsi wanavyopenda chipsi mayai/kuku, lazima aingie kingi! Chezea fix!
Ongea ukweli ujibebe, Lol. La sivyo piga fix uone mtu anavyo jaa kwenye kumi na nane zako... kudadadadeki! Oooh dia, nitainunua Ikulu ya Magogoni nikupe ufugie kuku wa mayai! Kwa jinsi wanavyopenda chipsi mayai/kuku, lazima aingie kingi! Chezea fix!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,973 Reaction score 54,101 May 20, 2013 #9 Kama una mpango wa kumfanya wife, ogopa kauli zitakazokufanya uonekane kituko baadae.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 May 20, 2013 #10 Mhhhh! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
B Baba mlezi JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 237 Reaction score 48 May 20, 2013 #11 mwanamke wa kuoa huwezi mdanganya ila wa kugegeda na kusepa lazimauongo utumike