Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,842 Jun 9, 2017 #1 Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
K kumpikaa Member Joined Jan 14, 2017 Posts 58 Reaction score 30 Jun 9, 2017 #2 Mmmmm huyo wako kimeo kaka. Kumbuka hâta wanaume wanaonywea pomme ada.......... Jibu wapooooo. In Ney's voice
Mmmmm huyo wako kimeo kaka. Kumbuka hâta wanaume wanaonywea pomme ada.......... Jibu wapooooo. In Ney's voice
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Jun 9, 2017 #3 wanaume wanaotuoa/kuzaa na sisi au kututuma nao bwana? Akili zao wazijua wenyewe Wanawake hatufanani lakini pia ni vema ukajifunza mwanamke uliye naye uwezo wake wakufanya maamuzi ukoje uepushe shari
wanaume wanaotuoa/kuzaa na sisi au kututuma nao bwana? Akili zao wazijua wenyewe Wanawake hatufanani lakini pia ni vema ukajifunza mwanamke uliye naye uwezo wake wakufanya maamuzi ukoje uepushe shari
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jun 9, 2017 #4 Wana namna yao ya kipekee
issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Jun 9, 2017 #5 ndo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Jun 9, 2017 #6 Pyepyepye said: Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu. Click to expand... Hahahaha pole sana mkuu, huyu mkeo atakuwa ni mama wa nyumbani huko uswahili wanaosifia elimu toka kwa magufuri. Anahisi unaharibu pesa kwenda kulipa ada wakati elimu ni bure.
Pyepyepye said: Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu. Click to expand... Hahahaha pole sana mkuu, huyu mkeo atakuwa ni mama wa nyumbani huko uswahili wanaosifia elimu toka kwa magufuri. Anahisi unaharibu pesa kwenda kulipa ada wakati elimu ni bure.
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Jun 9, 2017 #7 Tofauti ya kuhesabu kati ya ke na me ni: Me 1-2-3 Ke 1-3-2
reg edit JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 403 Reaction score 504 Jun 9, 2017 #8 issa mweusi said: ndo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa Click to expand... Ahahahahh umeua mkuu
issa mweusi said: ndo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa Click to expand... Ahahahahh umeua mkuu
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,639 Jun 9, 2017 #9 Mkuu sio kwa kuwadharau kiasi hiki mkuu.
alquin maxmillian madoro JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 374 Reaction score 251 Jun 9, 2017 #10 Kama unajua anaenda kununua mawigi ulimpa ya non,kwa nini usingeenda lipa mwenyewe??? Labda alienda kulipa ada dukani
Kama unajua anaenda kununua mawigi ulimpa ya non,kwa nini usingeenda lipa mwenyewe??? Labda alienda kulipa ada dukani
Mbugusege Member Joined Mar 28, 2017 Posts 34 Reaction score 9 Jun 9, 2017 #11 Mmmh huyo kama ni mm nampa likizo bila malipo kwenda kwao
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jun 9, 2017 #12 Huu nao uzi.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,974 Jun 9, 2017 #13 huyo sio mke
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,375 Reaction score 176,222 Jun 9, 2017 #14 Hakuna mwanamke wa kufanya hivyo.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,375 Reaction score 176,222 Jun 9, 2017 #15 issa mweusi said: ndo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa Click to expand...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jun 9, 2017 #16 Ukiona hivyo jua hajakomaa kiakili