Jamaa wa kicongo apewa sumu kwenye chakula na mkewe na baadae kumrekodi akiwa anakata roho... kisa nini? eti kugombania pesa ya child benefits na working tax credit[emoji1322][emoji1322]
Inna Lilah wa Inna ilayhi rrajiuun Allah amsamehe makosa yake kwa dhulma aliyofanyiwa kinamama ni viumbe dhaifu na katili sana ndiyo maana kwa upande wakisema mara moja tu nipe talaka yangu wala simwambii hebu rudia tena duh.
Aise.. Mimi na matajiri wenzangu kina (jef bozos .Mack Zuckerberg.billgert Ellen musk and Co )tuna mkakati wakuhamia Mars huko " ili tupate kuwaachia hii dunia yenu iliyojaa visanga
Lkn ufaham neno hili lakua. Siku za mwisho kutakuwepo na nyakati za hatari ,maana watu watakua,wenye kujipenda wenyewe, wapenda pesa na anasa, wasaliti. Wenye roho za utaua. Wasiotii wazazi, wakali. Wakaidi......