ha haha shoga wewe uingie kichwa kichwa ukutane na mapenzi na njaaa
dah una masharti mengi..ila kila la kheri
basi sawa watakujanimerelegeza masharti, umri uwe kuanzia miaka 20, lakini elimu lazima ianzie form4 na kuendelea ili kuongeza ufanisi ktk maisha, maana maisha ya cku hizi yanahitaji angalau ujue kujipambanua