Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yaan tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie nadin haina shida alimrad tabia,elimu 4m4 na kuendelea, kama amezaa basi watoto wasizid wawili,awe na umri kuanzia 25 hadi 35, moderate shape,ulefu kuanzia cm150 na kuendelea ..anaehitaji ani text tu, 0784009535 naapokea sms zinazoeleza sifa zako , nitakupigia. Ukiona cjakupigia baada ya cku 2, consider urself unsuccessful! Hiyo namba ni kwa sms tu, nimeblock incoming call usishangae ukiambiwa haipo,we tuma sms tu
Maisha yamekushinda wewe, mshamba wewe
unafanya nini kwa sasa? income yako how much?
unafanya nini kwa sasa? income yako how much?
Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yani tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie nadini haina shida alimradi tabia,elimu 4m4 na kuendelea, kama amezaa basi watoto wasizidi wawili.
Awe na umri kuanzia 25 hadi 35, moderate shape,ulefu kuanzia cm150 na kuendelea anaehitaji ani text tu, 0784009535 naapokea sms zinazoeleza sifa zako, nitakupigia.
Ukiona sjakupigia baada ya siku 2, consider urself unsuccessful! Hiyo namba ni kwa sms tu, nimeblock incoming call usishangae ukiambiwa haipo,we tuma sms tu
Kwanza mtu yeyote akisoma huu ujumbe wako inaonyesha kama hauko smart au hauko serious. Maneno mengi hapo umeyachanganya: Angalia hapo chini;
asie nadini = asiye na dini
ulefu = urefu
anaehitaji = anayehitaji
alimradi = ilimradi
tuanze ote = tuanze wote
kustragle = Ku-struggle
My take: Hao wanawake ambao unawatafuta nao wana akili zao, nao pengine wanaweza wakaangalia vitu kama hivyo kuona kama uko smart au poyoyo. Ndo maana comments nyingi hapo juu zimekuponda. Si tu kwasababu wanawake wana shiza za kuolewa then waingine tu shimoni.. haiko hivyo mazee.
duh kuingia kwenye mahiano huku sijui unafanya nini ni sawa na kujifungia mabomu kiunoni huku ukicheza mchezo wa kukumbatiana na kuvutana vutana kwa imani ya kuwa switch ipo mbali aisee .. sawaDADA sihitaji TRA Tin namba wala bima hapa hadi nitaje income yangu,NAHITAJI MKE
ha haha shoga wewe uingie kichwa kichwa ukutane na mapenzi na njaaahahahahahahah mchaga wewe hujaacha tu kupenda pesa misschagga hahahha
Umefilisika kiuchumi na umekata tamaa kama ccm, hata mwenye watoto unataka ? Bila kujali watoto amewapataje.
Kama unataka kuanza fresh tafuta bikira kwani wako wengi tu hata hapo mtaani kwako. Aliyezaa watoto wawili na hajaolewa huyo atakua nungayembe lililo chezewa na kukubuhu.
duh kuingia kwenye mahiano huku sijui unafanya nini ni sawa na kujifungia mabomu kiunoni huku ukicheza mchezo wa kukumbatiana na kuvutana vutana kwa imani ya kuwa switch ipo mbali aisee .. Sawa
Kwanza mtu yeyote akisoma huu ujumbe wako inaonyesha kama hauko smart au hauko serious. Maneno mengi hapo umeyachanganya: Angalia hapo chini;
asie nadini = asiye na dini
ulefu = urefu
anaehitaji = anayehitaji
alimradi = ilimradi
tuanze ote = tuanze wote
kustragle = Ku-struggle
My take: Hao wanawake ambao unawatafuta nao wana akili zao, nao pengine wanaweza wakaangalia vitu kama hivyo kuona kama uko smart au poyoyo. Ndo maana comments nyingi hapo juu zimekuponda. Si tu kwasababu wanawake wana shiza za kuolewa then waingine tu shimoni.. haiko hivyo mazee.
sina tatizo na ww kwasababu ualimu ni kazi yako, Ila nachokwambia ni kuwa NILIPOKUA NAANDIKA HII POST CKUWA KWENYE MASHINDANO YA INSHA WALA MWANDIKO, nilitaka ujumbe ufike kwa walengwa tu, mme bora hapimwi kwa mwandiko wake.
duh kuingia kwenye mahiano huku sijui unafanya nini ni sawa na kujifungia mabomu kiunoni huku ukicheza mchezo wa kukumbatiana na kuvutana vutana kwa imani ya kuwa switch ipo mbali aisee .. sawa
sawa mkuuusihofu
duh sawa mkuu basi nitakutext nijitoe wasifu wangu ... nijitutumue sms mwisho ngapi za kujitoa wasifu wanguUSIHOFU ondoa shaka!
[/SIZE][/SIZE]
The point si mume bora au siyo bora. Ninachosema mambo madogo kama hayo inaonyesha uko smart au hauko smart. Hao wanawake nao huwa wanaangalia hivyo vitu. Mwisho wa yote utatumiwa hizo sms na mtu wa hovyo pia. Ndo maana hapo juu wengi wamekuponda, anyways all the best!