Wanawake / akina Mama muwe mnawafundisha Watoto wenu wadogo wasiwe wanapenda sana Kutukimbilia na Kuturukia Sisi Wanaume / Baba zao!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Mtu unaingia Nyumbani au unaenda Kumtembelea Mtu mara ghafla Mwanae anakukimbilia na kuja kukurukia na kwa bahati mbaya akigusana tu na ' Mgongo ' wa ' Mkuyenge ' uliotulia katika ' himaya ' yake tukuka baade anaanza Kukuhoji hiyo ni nini hadi Kero kama siyo Karaha.

Akina Mama na Wanawake fanyeni Kazi yenu vyema kwa Watoto Wenu hao Wadogo hasa kwa Kuwaasa / Kuwaambia kuwa wasiwe wanapenda sana Kutukimbilia na Kuturukia hovyo halafu ' wakigongana ' na wasivyotakiwa Kuvijua kwa Umri Wao ' Maswali ' yanaanza kuwa mengi Kwetu.

Kuna Mtoto mmoja kamkimbilia Mtu hatimaye Kichwa chake Kikagongana na ' Mkuyenge ' uliokuwa umetulia na amepasuka kidogo hali ambaye imetufanya tujiulize mara mbili mbili je Mwenzetu kule kuna ' Mkuyenge ' tu peke yake au labda kuna ' Tofali ' dogo limehifadhiwa ili Kuupa ' Sapoti ' huo ' Mkuyenge ' hadi huyu Mtoto wa Watu amejeruhika hivi kidogo?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom