Starehe ya maskini ni ngono na umasikini ukithiri huko vijijini...nakubaliana na hoja ya kuwa wanawake wa vijijini wanachepuka Sana! Issue sijui Ni ulimbukeni,umaskini au malezi na wale form four failures' wa shule za kata nao mh!
umekoboa...nakubaliana na hoja ya kuwa wanawake wa vijijini wanachepuka Sana! Issue sijui Ni ulimbukeni,umaskini au malezi na wale form four failures' wa shule za kata nao mh!
Kweli Kuna kitu nilisikia eti wakati ukiwa njaa unakua na nyege Sana kuliko wakati umeshiba ndio maana maskini huzaa watoto wengi.Starehe ya maskini ni ngono na umasikini ukithiri huko vijijini
sitetei, lakini nataka nikufahamishe kuwa "ndoa za maskini zina amani kuliko vile unafikiri wewe"Starehe ya maskini ni ngono na umasikini ukithiri huko vijijini
Sawa ila starehe ya maskini ni ngono, kwa hio mwenye kauchumi kakunua pombe vilabuni na mboga kama samaki na kitimoto au nyama choma, mwenye ngo'ombe, ndizi, Kahawa, nanasi etc wanafaidi sana.sitetei, lakini nataka nikufahamishe kuwa "ndoa za maskini zina amani kuliko vile unafikiri wewe"
umewahi kuwa maskini?sawa ila starehe ya maskini ni ngono, kwa hio mwenye kauchumi kakunua pombe vilabuni na mboga kama samaki na kitimoto au nyama choma, mwenye ngo'ombe, ndizi, Kahawa, nanasi etc wanafaidi sana
Literature has shown that and my research with world vision and USAID has clearly and categorically proved.umewahi kuwa maskini?