Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
Mbona mnawafata fata sana wanawake wacheni waupare.
Mimi napenda kuwaona wako fit wana rekebisha fig zao:violin:
OK hapo niko na wewe.ishu ni njia wanayotumia ina negative impact kubwa baadaye.
wanaume mkianza kuthamini natural appearences huenda ikasaidia
i always go for natural one... mwanamke akianza jichubua tu, hata kama nlikuwa nazimika kwake... hamu juu yake inapotea kabisaa!!