Wanawake acheni dharau

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
502
Reaction score
871
Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano


Makosa mnayofanya baadhi yenu ni kumdharau mpenzi/mumeo wako kisa umetongozwa na mtu anayemzidi KIUCHUMI!

Tena wengine mnawasimanga wanaume zenu kwa kauli chafu hetu kwa sababu umetongozwa na boss wako au mtu maarufu
HII SIO SIFA YA MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ILA NI SIFA YA MWANAMKE ALIEFIKIA KIWANGO CHA JUU CHA UJINGA na usijidanganye unatongozwa wewe tu siku hizi maisha yamebadilika hata wanaume wanatongozwa na wanawake wazuri kuliko hata wewe ila hawana dharau kuheshimu uwepo wa wenza wao!

Ni vyema tukaishi kwa kuheshimiana
 
Samahani mkuu hizi mada zako huwaga unatype neno kwa neno au unacopy na kupaste kutoka mahali??
 
umeuliza sababu huwa naandika Gazeti ? Kuna watu wanaandika Zaidi ya hapo , nenda Jukwaa La intelijensia.



Anyway, Huwa ninatype neno Kwa neno kutoka ktk Uelewa wangu ..

Siwezi kucopy mahali .



Vipi ,unaswali ?? Au umeridhika ?.
Nimeridhika na mada zako sema tu gazeti mkuu
 
Dawa n kumtimulia mbali iwe fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…