nani kakuambia tarime kuna wanawake? wote wanaume kule na wanapeana mimba wanaume,yani wanaume wa tarime wanauwezo wa kushika mimba ndo mana wanazaa watoto jasiri sana. Tarime ni viumbe wengine bhana acha mchezo na tarime bhana sisi tarime wote ni wanaume tunabeba na mimba juu ndo mana product zetu kalii.