Vuguvugu la kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa ndani ya CCM ili kupewa ridhaa ya kugombea nafasi ya urais imenipa jambo la kujiuliza!
Wanausalama wa taifa wengi ni CCM?
Wapo waliochukua fomu za kuomba kuteuliwa ndani ya ccm na pale alipooneka aliyekuwa kiongozi muhimu ktk usalama wa taifa kuonekana ktk harakati za kisiasa za lowasa pale arusha.
Wana haki ya kujiingiza kwenye siasa baada ya kustaafu!
Lakini ndio wote wajazane ccm! Inamaana hata kabla ya kustaafu walikuwa na mapenzi na CCM!
Waliwezaje kufanya kazi ya kuhudumia taifa kwa haki huku wakiwa na mapenzi na chama kinachotawala!
Mwanausalama anapostaafu bado anaweza kutumiwa na serikali iiliyo madarakani pindi itakapo bidi,kwa hiyo hao ni kama bado watumishi wa umma tu!
NB:Kama wanaweza kutumiwa na serikali hata kama wamestaafu, basi sio sahihi wao kujihusisha na siasa kwa maana ya kuepuka kutumikia matakwa ya chama chake!