Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
Habar za Mida wanajamvi!
Kimsingi sitaki kusema mengi Kwan kichwa cha uzi kishajieleza hapo juu.
Imefikia hatua ambapo gharama za maisha zinapanda kwa kasi Sana na CHANZO kikubwa kikiwa ni Hawa Dada zetu.
Yaan kupendana mnapendana wote Lakin ukitaka mkaishi pamoja kama wife & husband inabidi umtolee mahali, kwann lakn?Wanaume Kwanin hizo pesa tusinunue mashine ya kufulia nguo (washing machine),au kuwasaidia wazazi wetu(mama) nyumban.
Yaan Hawa wanawake hawana shukran unaweza kukata shauri ukamuoa na akawa na kazi Yake inayomuingizia kipato Lakin bado utasikia"Baby leo nataka nkasuke American style nipe elfu sabin(70000)".kiukwel this is NONSENSE Kwanin wanaume hiyo pesa ya kumpa huyo mwanamke usinunue luku ya umeme mwez mzma.?
KINACHONIKERA SASA:Mwanaume Unaweza jituma katka sekta zote yaan namaansha kutafuta maisha na kitandan ukawa mzuri haswa yaan kipenga kikipulizwa hakuna half time mpaka dakika tisini zinaisha still huyo mwanamke Anaona hufai anaenda kugawa kwa jiran.
Wanaume tuweni na msimamo kuanzia November hii hatuowi mpaka Hawa viumbe watakapo jirekebisha!!
Kama uko pamoja na mimi Nakuombea mafanikio katka kipind cha kuvumilia na kupiga nyeto kwa hasira. Kikubwa WAZO na LENGO letu liwe moja!!