Wewe ni mwanaumeWe mi ni mama tena wa watoto wawili my dia
Hey hey jf members
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu
Ndomana umeachikaWe mi ni mama tena wa watoto wawili my dia
nakazia.... atalizwa mtu humuAnother kidney ina da hauzzzzzz!!!
Ati mmetengana kwa sababu gani? Na wewe hapo unafanya nini na hiyo black man yako?Tumetengana kwa sababu ya umalaya wake, ndio bado nampenda tena sana tu tatizo letu ni hilo tu tumepeana space kwa muda