Wanaume wenzangu, tuwaenzi wanawake wetu tuliotoka nao mbali

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu leo nmewaza sana, unakuta kipind huna hata mia ulikua na kidem chako flan kibovu, ila kilikupenda na hal yako hyo hyo, ukipata hela unampiga chin unachkua gudude ambao kipind kile huna hata mia asingeweza hata geuza jicho lake kwako

Hii ni mbaya sana kiukwel,.. Dhamb hii tuiepuke... Mfano wa wadau ambao wameweza bak na madem zao na ubov wao huo huo ni kama
1.masanja mkandamizaj
2.roma
3.joe
4.babuu wa kitaa
5.waheshimiwa weng
6,sama goal
7,prof j

Na wengne weng

Mim bnafs kuna dem niliwai kuwa nae, ila daaah, shetan aliniweza nkampiga chin

Ila nakumbuka nilimfungulia biashara nzur baada ya kumwacha ambayo imempa manufaa makubwa sana had leo tunawasiliana vzur na hajutii kunifaham. ..

Uzi tayar
 
Mfano tuu, unaweza rekebisha, mke wa gwajima unamwonaje,.. Af ujue nilichoongea ni technicaly immoral ila kuna ukwel hata ukikaa nao wenye wake zao wanasema, mi nmewasilisha tuu,unahis wanaume tukikaa hatusem kua dem huyu kisu na dem huyu mbovu?
Kwaiyo wake za hao wanaume Ni wabovu...unajua nimekushangaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom