Wanaume wenye makalio madogo mnatuboa sana wapenzi wenu

Dah ama kweli hii awamu ya 5 inalaana...Yan had wanaume tuanze kusifiwa makalio!!!!!

Ulikuwa unatafuta nini kwa wanaume wenye makalio makavu yenye majipu&upele wakati unajua fika hawana radha!!!?

Hawahawa ndo utakuta wanalalamikia vibamia kumbe nawao wana vibwawa!!
Huoni huyu mleta mada ana ujuzi au ameyaona makali ya kila aina, inamaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ndio huo wanawake wakati wa kusex huwa tunapenda kuwakumbatia wanaume na mikono yetu huwa inaenjoy zaidi tukiyapapasa makalio yenu wakaka.

Sasa kuna wanaume kwenu makalio ni mtihani jamani khaaa.Makalio madogo yana majipu na upele utazani mnakalia kunguni vile, na wengine wana makalio makavu hata mafuta hawayapaki kama wametoka kukalia majivu.

Kiukweli wakaka wenye makalio ya wastani wapo hot sana kitandani.
Sijui kwa wengine ila mm mwanamke kunishika makalio ni kosa la jinai
 
Kumbe ndo maana siku hizi wanaume nao hutembea wakibinua chura eee

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu zama zimebadilika sana, na wanawake wamebadilika sana na wanaendelea kubadilika. Wana mutate kila kukicha..! Sasa onaa hii.. Mtu anataka mwanaume niwe na Tako hivi hilo tako la kazi gani tena ??
TUTAFUTENI PESA WAZEE, HIZI KELELE ZOTE HAZIWEZI KUPATA NAFASI KAMA UNAHELA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kuna wanaume wanapakaga mafuta matakoni?
Ukweli ndio huo wanawake wakati wa kusex huwa tunapenda kuwakumbatia wanaume na mikono yetu huwa inaenjoy zaidi tukiyapapasa makalio yenu wakaka.

Sasa kuna wanaume kwenu makalio ni mtihani jamani khaaa.Makalio madogo yana majipu na upele utazani mnakalia kunguni vile, na wengine wana makalio makavu hata mafuta hawayapaki kama wametoka kukalia majivu.

Kiukweli wakaka wenye makalio ya wastani wapo hot sana kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma san
FB_IMG_15902566238512687.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom