Thanks love... Usitie huruma when you are with me... Nakupenda sana i wanna see you happy and free with me...Thank you so much my one and only super Dear
I love you and I miss you so Mmmuaaaaah
Thanks loveThanks love... Usitie huruma when you are with me... Nakupenda sana i wanna see you happy and free with me...
Huyo mwanamke nae zoba!!! Miaka mitano yote bado anasubiria nguo mpya toka kwa mume!!! Si ajinunulie tu...Ndio mana huwa tunaambiwa wanawake tujishughulishe ili kuepukana na karaha hizo.
Na hata siku moja tusitegemee kwamba mwanaume atakutimizia kila kitu vipo vitu binafsi ambavyo unatakiwa kuvifanya bila hata kumshirikisha huyo mume.
Huyo anayelalamika akisema asubiri kununuliwa itafika kipindi hata hiyo chu*i ya kuvaa ataikosa.
Wanawake tuamke jamani khaa.
Wanaleta mabo ya facebook na instagram... Kudandia comments na matangazo yaoHuwa nachukiag sana na.wapo wengi wa style hiii kwan hakuna sehem husik.z matangazo yao