Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
Du, mimi kwangu vyote hivo havipo. Siku mojamoja futa tu kidogo (shanti) usoni. Mdomo ukila supu unajimaliza wenyewe. Sijui hata kama nna nyusi.
Nyie wadada mkiona wanaume zenu wanafanya hayo aliyoandika mleta mada basi muwe mnapanga ratiba ya kwenda salon pamoja. Nahisi kama mwisho wa dunia ndo unafika.
Hata kwenye maandiko ipo, mwisho wa dunia ukikaribia, wanaume watakua wanawake na wanawake watakua wanaume.
Mwanaume mzima unatiwa katikati ya paja la mwanamke maana unasukwa. hereni asubuhi mnagombania nani anavaa ipi... eti watu wanakwenda na wakati. ukisikia ukoloni mamboleo ndio huo, kila wafanyacho weupe na sie bila kujiuliza sababu, tunaiga. Heri mshamba kuliko limbukeni...
Wanawake mbona wana vaa suruali hamshangai, wanaume nao wanataka usawa kama mwanamke anafanya kwa nn mwanaume asifanye? Waache wafanye kitu roho inataka
Naona umeshapata jibu maana nilikuwa nataka kukujibu. Kama hujagundua, jibu ni hao wanao wa miaka 5, 2....wanampenda kwa sababu hawaelewi muziki wake bali wanapenda vituko vyake. Ila kama mzazi inabidi uanze kuwa na wasiwasi maana wasianze kumkopi kuvaa na kufanya vitu vya ******* mapema kuona kama ni kawaida.
heeeeeeeeeeeeee shikamo! nimekumic wewe kaka yangu siku hizi wanaweka mpaka dawa nywele ziwe zakihindi mweeeee