awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shanga wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!
Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!
mwanaume lipgloss!
Mwanaume shanga!
Mwanaume foundation!
Loh wakiume hao sio wanaume
Eti na lipshine kweli ukiwa rafiki yangu nikakuta umepaka lipshine nakupiga kibao!!na urafiki unaisha dume linatembea na kakopo kamafuta eti midomo inanikauka damn!!!
pls cjamaanisha shanga za kiunon i meant shangaa yan taharuki.
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
hao wanaume wa hivyo si ajabu marinda yasha-nyooshwa, sio wazima hao.awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!
Masharobaro tuuu!!!!!!!!
hao wanaume wa hivyo si ajabu marinda yasha-nyooshwa, sio wazima hao.
LARA what i used to believe was this men are always born sooo handsome ukikompare na beautiful madada. na ndio maana wadada wakawa na alternatives za mawigi, mawanja na lipstics, nywele znye stail tofauti nk. wanaume wakabaki natural kama walivyo. siku hizi naona hawautaki uhandsome wao bali ubeautiful na ndio maana tunapishana kwa sonara kuvaa vipuli maskioni, kwenye salun kusuka na hata kwenye ma pedicure ma manicure.Jamani demand ya MAHANDSOME mjini imeongezeka, inabidi watu wacope na demand na wao by nature sio good looking, ndo kujituma na cosmetics za mchina! Ila mbona hata mastar kama Brad Pitt, George Clooney na D.Beckham wanapaka sana hizo kitu ili SHOTS ZITOKE CLEAR. I guess kwenye usanii U GOTTA LOOK DIFFERENT than the rest.!!!!!!!!