Kwanza huwa inategemea na urefu alivyo.
Wengine ni ilimradi wamenyooka basi!
Pili Inategemea na hali ya moyo wake ilivyo.
Kuna wanaume wengine ufanye kuwaangalia hivi kwa nje tu au ukutane nae hotel siku 2-3 kisha kila mtu aende zake lakini kuishi nae chini ya dari moja kwa muda mrefu utachoka mwenyewe nakwambia πππ
Sio kwa disappointments hizo!