Habari
Jaman wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akiku kic unafeel uko na mtu sasa shida ipoa hawa vifupi jamani dah
Mpka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ILA warefu hata akiwa mbali unatamani mda wote awepo karibu mchumuchumu tu