Wanaume wapi salama wakiwa mbali na wanawake

Ni ukweli usiopingika, hawa viumbe Mungu katuletea lakin wanatutesa sana kisaikolojia, samtymz mi huwa nasema kwann alituletea hawa watu.

Isitoshe hata ugumu wa safari ya kwenda mbinguni inasababishwa na hawa viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…