Waafrika walitembea uchi na wataendelea kutembea uchi. Mshukuru mzungu anae kuletea nguo uvae. Na jua mungu alikuleta duniani ukiwa uchi. Na mungu atakupenda hata ukitembea bila nguo. Bibilia imekupotosha. Mwanamke mtukufu wake ni mungu si mwanaume, bibilia imekudanganya.