Wanaume wanaooa au wanaopenda kuoa wanawake wa kijijini ndo waharibifu wakubwa

Wivu umekujaa mpaka umeota makunyanzi usoni
 
Dada naomba, naomba sana ulifanye hili kwa ajili yangu, iko siku utanielewa. Zungumza vizuri na huyo binti kama mzazi wake, bado ni binti mdogo mno! Ongea nae uangalie namna ya kumsaidia mpaka Ustawi wa Jamii, usiangalie mambo ya kuvunja ndoa ya watu, ni bora ivunjike tu huyo binti abaki salama. Unaweza ukawa unasita kumsaidia hivyo, likampata kubwa zaidi hata kupoteza maisha yake kitu kitakachokutesa maisha yako yote. Msaidie huyu binti dada tafadhali sana
 
Wanawake wengi tu wanapigwa sana na waume zao, only that its not easy to open up.
 

Hii ni tabia ya kipuuzi sana, hlf huyo jamaa atakuwa ana kasoro anazozificha kupitia mwanamke.

Kwanza kaoa binti mdogo
Pili kaamua kumtoa kijijini
Tatu anampiga

Hizo zote ni dalili za inferiority complex, upuuzi sana
 
Ndo hivyo hawa wanaume hawaaa Mungu anawaona.... Ingekuwa Ni Hawa wanawake wa Mjini hata nisingeshtuka lkn haka katoto hata hakajui haki zake jamani .....

Mfundishe haki zake, Mfundishe namna ya kujitetea.
 
Ipo namna njema zaidi ya hiyo, huyo jamaa ni dhaifu sana
Dogo hawezi mcontrol jamaa.. Jamaa anaona huyo ni mtoto tu hawezi elewa kwa kuambiwa ni kipigoo tuu...!! So hapo either dogo avumilie kipigo au watu wazima waende kuongea na jamaa apunguze kumpiga dogo ila dogo huyo hawezi fanya lolotr kujisaidia labda atorokee
 
Miaka 19 ni mdogo sana.
Pengine hata mwanaume anaongea na vicheche wake mbele yake na hakafanyi kitu.
Huyo mwanaume angenioa mimi ningeshamkata naniii zake nichemshe supu. Nimechukia sana

kumbe kakorofi wewe
 
Wivu umekujaa mpaka umeota makunyanzi usoni
Hahahaaaa poleee Sina kunyanzi hata Moja...... Na Wala Sina wivu Ni kwamba namsaidia tuu huyu binti sijui kesho Nani atanisaidia Mimi ama wanangu ama ndugu zangu upoo

Nafanya tuu Kama sadaka.... Nawewe Kama unatabia izi kaa ukijua tuu kuwa dunia ni mzunguko leo unamfanya mwana wa watu kesho watafanyiwa wanao Tena Mara elfuuuu
 
Nipo kwenye process...... Wala ndoa yake haitavunjika labda tuu Kama mwanaume hata acha upuuzi wake
 
Wanawake wengi tu wanapigwa sana na waume zao, only that its not easy to open up.
Kama Ni Hawa wajanja wa mjini unakuta wana pigwa kwasababu za msingi kabisaaa..... Lkn hiki kitoto noooo kinanyanyasika bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…