mi nammjua mwanaume mmoja tu aliye na huruma ..mtanashanti mpole..ana sifa zote ila kubwa ni upole.......kijana huyu ni kipenzi cha wengi na hata ukikutana nae nae hutaacha kugeuka....na usiombe huyu kijana akupe maji...hutaona kiu tena ..na kijan huyu ndiye pekee anauejua thamani ya maisha yako... hakika kijana huyu ndiye anayejua hata salio la siku zako...hana makuu...akikupenda kijana huyu huwa hana tabia ya kutoa kasoro kama walivyo vijana wengine...jmpokee leo uone utakvyokuwa kiumbe kipya...huyu mwanaume hana mfano wake.... huyu mwanaume aliacha enz na kila kitu na akakubali kufa kwa ajli yako .....huyu ndo mwanaume mwenye huruma jina lake ni YESU KRISTO