Pesa tu.Kupata pisi Haina definition kua lazma uwe mrefu .
Did you pray todayNiliwahi kusema humu siku moja,ukimuona mwanaume ana umalaya/ufuska wa kuptiliza fuatilia historia yake,utagundua kuwa aliwahi kutendwa na wanawake katika maisha yake,inaweza kuwa ni kwa sababau za uchumi,umbile,afya,rangi,muonekano n.k,sasa akija kuzipata hela anajikuta kisaikoljia analipiza bila ya kujijua...
Yes i did,and i usually do....Did you pray today
FactUsitafute hela ili uwakomoe KE, tafuta hela uwe na financial freedom.
Pole na ufupi japo sio ugonjwa au ukilema, jiamini.